Waamuzi 5:17
Gileadi alikaa ngʼambo ya Yordani. 2 Naye Dani, kwa nini alikaa 2 kwenye merikebu siku nyingi? 1 Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, 2 akikaa kwenye ghuba zake ndogo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
Cross References
Genesis 35:25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1
Joshua 13:31nusu ya Gileadi, na Ashtarothi na Edrei (miji ya kifalme ya Ogu katika Bashani). Hii ilikuwa kwa ajili ya wazao wa Makiri mwana wa Manase, kwa ajili ya nusu ya wana wa Makiri, ukoo kwa ukoo.