Yoshua 14:13
Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, na akampa Hebroni kama urithi wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joshua blessed him, and gave unto Caleb the son of Jephunneh Hebron for an inheritance.
In Context
Cross References
Genesis 47:10Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.
Joshua 15:13Kwa kufuata maagizo ya Bwana kwake, Yoshua alimpa Kalebu mwana wa Yefune sehemu katika Yuda: Kiriath-Arba, yaani Hebroni (Arba alikuwa baba wa zamani wa Anaki).
Joshua 21:12Lakini mashamba na vijiji vilivyozunguka mji mkubwa walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake. 1
Judges 1:20Kama vile Mose alivyoahidi, Kalebu alipewa Hebroni, naye akawafukuza wana watatu wa Anaki.
1 Samuel 30:31na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.
1 Chronicles 6:55Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.