Genesis 47:10
Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob blessed Pharaoh, and went out from before Pharaoh.
In Context
Cross References
Genesis 14:19Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Numbers 6:23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 1
Joshua 14:13Ndipo Yoshua akambariki Kalebu mwana wa Yefune, na akampa Hebroni kama urithi wake.
2 Samuel 8:10akamtuma mwanawe Yoramu kwa Mfalme Daudi kumsalimu na kumpongeza kwa ushindi wake katika vita dhidi ya Hadadezeri, kwa kuwa Hadadezeri alikuwa amepigana vita na Tou. Yoramu akamletea Daudi vyombo vya fedha, dhahabu na shaba.
Psalms 119:46Nitasema sheria zako mbele za wafalme 2 wala sitaaibishwa, 1
Hebrews 7:7Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kumliko yeye.