bible.software › Yoshua › Yoshua 19 › Yoshua 19:8
Yoshua 19:8
pamoja na vijiji vyote vinavyoizunguka miji hii mpaka Baalath-Beeri (ambayo ndiyo Rama iliyo katika Negebu). Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Simeoni ukoo kwa ukoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the villages that were round about these cities to Baalath-beer, Ramath of the south. This is the inheritance of the tribe of the children of Simeon according to their families.
In Context
7Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,
9Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya eneo la Yuda. 1 Mgawo Kwa Zabuloni
Read all of Yoshua 19
Cross References
1 Samuel 30:27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri;
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 19:8