Yoshua 19:9
Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya eneo la Yuda. 1 Mgawo Kwa Zabuloni
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, 2 nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! 1 Nitawatawanya katika Yakobo 2 Na kuwasambaza katika Israeli. 1
Numbers 26:54Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa.
2 Corinthians 8:14Kwa wakati huu, wingi wa vitu mlivyo navyo usaidie kutosheleza mahitaji yao, ili wakati wao watakapokuwa na wingi wa vitu, nao wapate kutosheleza mahitaji yenu.