bible.software › Yoshua › Yoshua 2 › Yoshua 2:20
Yoshua 2:20
Lakini ikiwa utatoa habari ya shughuli yetu tunayofanya, tutakuwa tumefunguliwa kutoka kwenye kiapo hiki ulichotufanya tuape.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if thou utter this our business, then we will be quit of thine oath which thou hast made us to swear.
In Context
19Ikiwa mtu yeyote atatoka nje ya nyumba yako akaenda mtaani, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe, hatutawajibika. Lakini yule ambaye atakuwa ndani pamoja nawe, kama mkono wa mtu yeyote ukiwa juu yake damu yake itakuwa juu ya vichwa vyetu.
21Naye akajibu, “Nimekubali. Na iwe kama mnavyosema.” Kwa hiyo akaagana nao, nao wakaondoka. Yeye akaifunga ile kamba nyekundu dirishani.
Read all of Yoshua 2
Cross References
Proverbs 11:13Masengenyo husaliti tumaini, 2 bali mtu mwaminifu hutunza siri. 1
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 2:20