Proverbs 11:13
Masengenyo husaliti tumaini, 2 bali mtu mwaminifu hutunza siri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A talebearer revealeth secrets: but he that is of a faithful spirit concealeth the matter.
In Context
12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake, 2 bali mtu mwenye ufahamu huuzuia ulimi wake. 1
14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, 2 bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 1
Cross References
Leviticus 19:16“ ‘Usieneze uchochezi miongoni mwa watu wako. “ ‘Usifanye kitu chochote kile kinachohatarisha maisha ya jirani yako. Mimi ndimi Bwana.
Joshua 2:20Lakini ikiwa utatoa habari ya shughuli yetu tunayofanya, tutakuwa tumefunguliwa kutoka kwenye kiapo hiki ulichotufanya tuape.”
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Proverbs 20:19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, 2 kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 1
Proverbs 26:20Bila kuni moto huzimika; 2 pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 1
1 Timothy 5:13Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.