Joshua 21:17
Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And out of the tribe of Benjamin, Gibeon with her suburbs, Geba with her suburbs,
In Context
18Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Cross References
Joshua 9:3Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
1 Chronicles 6:60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1 Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.
Nehemiah 12:29kutoka Beth-Gilgali, na kutoka eneo la Geba na Azmawethi, kwa kuwa waimbaji walikuwa wamejijengea vijiji kuzunguka Yerusalemu.