1 Nyakati 6:60
Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. 1 Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho.
61Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.
Cross References
Joshua 18:24Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake. 1
1 Samuel 13:3Yonathani akashambulia ngome ya Wafilisti huko Geba, nao Wafilisti wakapata habari hizo. Kisha Sauli akaamuru tarumbeta ipigwe nchi yote na kusema, “Waebrania na wasikie!”
1 Chronicles 8:6Hawa ndio wazao wa Ehudi, waliokuwa viongozi wa jamaa za wale walioishi huko Geba na ambao walihamishiwa Manahathi: 2
Isaiah 10:30Piga kelele, ee Binti Galimu! 2 Sikiliza, ee Laisha! 2 Maskini Anathothi! 1
Jeremiah 11:23Hawatasaziwa hata mabaki kwao, kwa sababu nitaleta maafa kwa watu wa Anathothi katika mwaka wa adhabu yao.’ ”