bible.software › Joshua › Joshua 21 › Joshua 21:9
Joshua 21:9
Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they gave out of the tribe of the children of Judah, and out of the tribe of the children of Simeon, these cities which are here mentioned by name,
In Context
8Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Mose.
10(miji hii walipewa wazao wa Aroni ambao walitokana na koo za Wakohathi wa Walawi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia): 1
Read all of Joshua 21
Cross References
Joshua 21:13Kwa hiyo wazao wa kuhani Aroni wakapewa Hebroni (mji mkuu wa makimbilio kwa ajili ya yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji), Libna,
1 Chronicles 6:65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
This Verse In Other Editions
Study Joshua 21:9