Joshua 21:8
Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina
Cross References
Numbers 32:2Hivyo walimjia Mose, na kuhani Eleazari na viongozi wa jumuiya, na kuwaambia,
Numbers 35:3Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ngʼombe zao, mbuzi, kondoo na mifugo yao mingine yote.
Joshua 21:3Hivyo kama vile Bwana alivyoamuru, Waisraeli wakawapa Walawi miji ifuatayo pamoja na sehemu zake za malisho kutoka urithi wao wenyewe.
Proverbs 18:18Kupiga kura hukomesha mashindano 2 na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. 1