Yoshua 23:4
Kumbukeni jinsi nilivyowagawia kama urithi kwa makabila yenu yote nchi ya mataifa yaliyobaki, yaani mataifa niliyowashinda, kati ya Mto Yordani na Bahari kuu upande wa magharibi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 13:6“Na kuhusu wakaaji wote katika maeneo ya milima, kuanzia Lebanoni hadi Misrefoth-Maimu, pamoja na eneo lote la Wasidoni, mimi mwenyewe nitawafukuza watoke mbele ya Waisraeli. Hakikisha umegawa nchi hii kwa Israeli kuwa urithi, kama nilivyokuagiza,
Zephaniah 3:6“Nimeyafutilia mbali mataifa, 2 ngome zao zimebomolewa. 1 Nimeziacha barabara ukiwa, 2 hakuna anayepita humo. 1 Miji yao imeharibiwa; 2 hakuna mmoja atakayeachwa: 2 hakuna hata mmoja. 1