The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 3 › Sefania 3:6

Sefania 3:6

“Nimeyafutilia mbali mataifa, 2 ngome zao zimebomolewa. 1 Nimeziacha barabara ukiwa, 2 hakuna anayepita humo. 1 Miji yao imeharibiwa; 2 hakuna mmoja atakayeachwa: 2 hakuna hata mmoja. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have cut off the nations: their towers are desolate; I made their streets waste, that none passeth by: their cities are destroyed, so that there is no man, that there is none inhabitant.

In Context

5Bwana aliye ndani yake ni mwenye haki, 2 hafanyi kosa. 1 Asubuhi kwa asubuhi hutoa haki yake, 2 kila kukipambazuka huitimiza, 2 bali mtu dhalimu hana aibu. 1

7Niliuambia huo mji, 2 ‘Hakika utaniogopa na kukubali maonyo!’ 1 Ndipo makao yake hayatafutiliwa mbali, 2 wala adhabu zangu zote hazitakuja juu yake. 1 Lakini walikuwa bado na shauku 2 kutenda kwa upotovu katika yote waliyofanya.” 1

Read all of Sefania 3

Cross References

Joshua 23:4Kumbukeni jinsi nilivyowagawia kama urithi kwa makabila yenu yote nchi ya mataifa yaliyobaki, yaani mataifa niliyowashinda, kati ya Mto Yordani na Bahari kuu upande wa magharibi.

Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1

Isaiah 37:11Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

Jeremiah 25:18Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo;

Zephaniah 2:5Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, 2 enyi Wakerethi; 1 neno la Bwana liko dhidi yenu, 2 ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. 1 “Mimi nitawaangamiza, 2 na hakuna atakayebaki.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 3:5Sefania 3Sefania 3:7 →