Isaiah 44:5
Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa Bwana’; 2 mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; 1 vilevile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa Bwana,’ 2 na kujiita kwa jina la Israeli. 1 Ni Bwana, Siyo Sanamu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 26:17Umetangaza leo kwamba Bwana ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Nehemiah 9:38“Kwa sababu ya haya yote, tunajifunga katika mapatano, na kuyaandika, nao viongozi wetu, Walawi wetu na makuhani wetu wanatia mihuri yao.”
Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Micah 4:2Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Zechariah 13:9Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”
Galatians 6:16Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, na juu ya Israeli wa Mungu.