bible.software › Yoshua › Yoshua 3 › Yoshua 3:9
Yoshua 3:9
Yoshua akawaambia Waisraeli, “Njooni hapa msikilize maneno ya Bwana Mungu wenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joshua said unto the children of Israel, Come hither, and hear the words of the LORD your God.
In Context
8Uwaambie makuhani wanaochukua Sanduku la Agano, ‘Mnapofika kwenye ukingo wa maji ya Yordani, nendeni mkasimame ndani ya mto.’ ”
10Hivi ndivyo mtakavyojua ya kuwa Mungu aliye hai yupo katikati yenu, na kwamba kwa hakika atawafukuza mbele yenu hao Wakanaani, Wahiti, Wahivi, Waperizi, Wagirgashi, Waamori na Wayebusi.
Read all of Yoshua 3
Cross References
Deuteronomy 12:8Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 3:9