Kumbukumbu 12:8
Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao Bwana Mungu wenu anawapa.
Cross References
Joshua 3:9Yoshua akawaambia Waisraeli, “Njooni hapa msikilize maneno ya Bwana Mungu wenu.
Judges 17:6Katika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe.
Proverbs 21:2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, 2 bali Bwana huupima moyo. 1
Acts 7:42Ndipo Mungu akageuka, akawaacha waabudu jeshi lote la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Manabii: 1 “ ‘Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1