Yoshua 4:22
Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then ye shall let your children know, saying, Israel came over this Jordan on dry land.
In Context
Cross References
Exodus 15:19Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, Bwana aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu.
Joshua 3:17Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la Bwana, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lote likaisha kuvuka mahali pakavu.
Psalms 66:6Alifanya bahari kuwa nchi kavu, 2 wakapita kati ya maji kwa miguu, 2 njooni, tumshangilie. 1
Isaiah 44:27niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka, 2 nami nitakausha vijito vyako,’ 1
Revelation 16:12Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa Frati, maji yake yakakauka ili kutayarisha njia kwa ajili ya wafalme watokao Mashariki.