bible.software › Yoshua › Yoshua 6 › Yoshua 6:3
Yoshua 6:3
Zunguka mji mara moja pamoja na watu wote wenye silaha. Fanya hivi kwa siku sita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ye shall compass the city, all ye men of war, and go round about the city once. Thus shalt thou do six days.
In Context
2Kisha Bwana akamwambia Yoshua, “Tazama, nimeitia Yeriko mikononi mwako, pamoja na mfalme wake na watu wake wa vita.
4Uwe na makuhani saba wakibeba mabaragumu ya pembe za kondoo dume mbele ya Sanduku. Siku ya saba, mzunguke mji mara saba, nao makuhani wakipiga baragumu hizo.
Read all of Yoshua 6
Cross References
Joshua 6:7Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkauzunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la Bwana.”
1 Corinthians 1:21Kwa kuwa katika hekima ya Mungu, ulimwengu kwa hekima yake haukumjua yeye, ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale walioamini kwa upuzi wa lile neno lililohubiriwa.
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 6:3