Yoshua 7:5
ambao waliwaua watu kama thelathini na sita miongoni mwao. Wakawafukuza Waisraeli kutoka lango la mji hadi Shebarimu, nao wakawauwa huko kwenye materemko. Kutokana na hili mioyo ya watu ikayeyuka ikawa kama maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Basi wakapanda kama watu elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na watu wa Ai,
Cross References
Deuteronomy 1:44Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma.
Joshua 2:11Tuliposikia juu ya hili, mioyo yetu iliyeyuka na kila mmoja alikosa ujasiri kwa sababu yenu, kwa maana Bwana Mungu wenu ni Mungu juu mbinguni na duniani chini.
Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1
Ezekiel 21:7Nao watakapokuuliza, ‘Kwa nini unalia kwa uchungu?’ Utasema hivi, ‘Kwa sababu ya habari zinazokuja. Kila moyo utayeyuka na kila mkono utalegea, kila roho itazimia na kila goti litalegea kama maji.’ Habari hizo zinakuja! Hakika zitatokea, asema Bwana Mwenyezi.”