Ezekiel 21:7
Nao watakapokuuliza, ‘Kwa nini unalia kwa uchungu?’ Utasema hivi, ‘Kwa sababu ya habari zinazokuja. Kila moyo utayeyuka na kila mkono utalegea, kila roho itazimia na kila goti litalegea kama maji.’ Habari hizo zinakuja! Hakika zitatokea, asema Bwana Mwenyezi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Neno la Bwana likanijia, kusema:
Cross References
Exodus 15:15Wakuu wa Edomu wataogopa, 2 viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu, 1 watu wa Kanaani watayeyuka, 2
Deuteronomy 20:8Kisha maafisa wataongeza haya, “Je, kuna mtu anayeogopa ama kufa moyo? Yeye na arudi nyumbani ili ndugu zake nao wasije wakafa moyo pia.”
Joshua 5:1Basi wafalme wote wa Waamori magharibi ya Yordani na wafalme wote wa Kanaani waliokuwa kwenye pwani waliposikia jinsi Bwana alivyoukausha Mto Yordani mbele ya Waisraeli hata tulipokwisha kuvuka, mioyo yao ikayeyuka kwa hofu, wala hawakuwa na ujasiri kuwakabili Waisraeli. 1 Tohara Huko Gilgali
2 Kings 21:12Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Nitaleta maafa makubwa juu ya Yerusalemu na Yuda, kiasi kwamba masikio ya kila mmoja atakayesikia habari zake yatawasha.
Isaiah 7:2Wakati huu nyumba ya Daudi iliambiwa, “Aramu wameungana na Efraimu.” Kwa hiyo mioyo ya Ahazi na watu wake ilitikiswa, kama miti ya msituni inavyotikiswa na upepo.
Isaiah 28:19Kila mara lijapo litawachukua, 2 asubuhi baada ya asubuhi, 1 wakati wa mchana na wakati wa usiku, 2 litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.” 1 Kuuelewa ujumbe huu 2 utaleta hofu tupu. 1