Jude 1:2
Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi. 1 Dhambi Na Hukumu Ya Watu Wasiomcha Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Mercy unto you, and peace, and love, be multiplied.
In Context
Cross References
Romans 1:7Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Maombi Na Shukrani
2 Peter 1:2Neema na amani iwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Yesu Bwana wetu. 1 Wito Wa Mkristo Na Uteule