Romans 1:7
Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Maombi Na Shukrani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Yesu Kristo.
Cross References
Deuteronomy 33:12Kuhusu Benyamini akasema: 1 “Mwache mpenzi wa Bwana 2 apumzike salama kwake, 1 kwa maana humkinga mchana kutwa, 2 na yule Bwana ampendaye 2 hupumzika kati ya mabega yake.”
Song of Solomon 5:1Nimekuja kwenye bustani yangu, dada yangu, 2 bibi arusi wangu; 1 nimekusanya manemane yangu pamoja 2 na kikolezo changu. 1 Nimekula sega langu la asali na asali yangu; 2 nimekunywa divai yangu na maziwa yangu. Marafiki 1 Kuleni, enyi marafiki, mnywe; 1 kunyweni ya kutosha, ee wapenzi. 1 Shairi La Nne Mpendwa 1
Matthew 6:8Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba.
Acts 7:59Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.”
Romans 1:6Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Yesu Kristo.
Romans 8:39wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kingine chochote zitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu, Bwana wetu.