bible.software › Waamuzi › Waamuzi 1 › Waamuzi 1:5
Waamuzi 1:5
Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafanya Wakanaani na Waperizi wakimbie.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they found Adoni-bezek in Bezek: and they fought against him, and they slew the Canaanites and the Perizzites.
In Context
4Yuda aliposhambulia, Bwana akawatia Wakanaani na Waperizi mikononi mwao, nao wakawaua watu 10,000 huko Bezeki.
6Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuata na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Read all of Waamuzi 1
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 1:5