Waamuzi 1:6
Adoni-Bezeki pia alikimbia, nao wakamfuata na kumkamata, wakamkata vidole vyake gumba vya mikono na vya miguu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:26Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako juu ya bahari ili maji yarudiane yawafunike Wamisri, magari yao ya vita na wapanda farasi wao.”
Joshua 15:16Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.”
Psalms 59:11Lakini usiwaue, Ee Bwana, ngao yetu, 2 au sivyo watu wangu watasahau. 1 Katika uwezo wako wafanye watangetange 2 na uwashushe chini. 1
Psalms 149:8wawafunge wafalme wao kwa minyororo, 2 wakuu wao kwa pingu za chuma, 1
Jeremiah 50:15Piga kelele dhidi yake kila upande! 2 Anajisalimisha, minara yake inaanguka, 2 kuta zake zimebomoka. 1 Kwa kuwa hiki ni kisasi cha Bwana, 2 mlipizeni kisasi; 2 mtendeeni kama alivyowatendea wengine. 1