Waamuzi 11:14
Yefta akarudisha wajumbe kwa mfalme wa Waamoni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jephthah sent messengers again unto the king of the children of Ammon:
In Context
15kusema: “Hili ndilo asemalo Yefta, Israeli hawakuchukua nchi ya Moabu wala ya Waamoni.
Cross References
Psalms 120:7Mimi ni mtu wa amani; 2 lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Hebrews 12:14Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu, ambao bila kuwa nao hakuna mtu atakayemwona Bwana.