bible.software › Waamuzi › Waamuzi 12 › Waamuzi 12:10
Waamuzi 12:10
Ibzani akafa, akazikwa huko Bethlehemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then died Ibzan, and was buried at Bethlehem.
In Context
9Alikuwa na wana thelathini na binti thelathini. Akawaoza binti zake kwa watu wengine nje ya ukoo wake, na kuwatwalia wanawe wanawake thelathini toka nje ya ukoo wake. Ibzani akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka saba.
11Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi.
Read all of Waamuzi 12
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 12:10