Waamuzi 12:11
Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And after him Elon, a Zebulonite, judged Israel; and he judged Israel ten years.
In Context
10Ibzani akafa, akazikwa huko Bethlehemu.
12Kisha Eloni akafa, akazikwa katika Aiyaloni, katika nchi ya Zabuloni.