Judges 13:1
Waisraeli wakafanya maovu tena mbele za Bwana. Hivyo Bwana akawatia mikononi mwa Wafilisti kwa muda wa miaka arobaini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 3:7Waisraeli wakafanya maovu machoni pa Bwana, wakamsahau Bwana Mungu wao na kutumikia Mabaali na Maashera.
Judges 6:1Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za Bwana, naye kwa miaka saba Bwana akawatia mikononi mwa Wamidiani.
Judges 10:7hivyo hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni,
1 Samuel 4:9Tuweni hodari, enyi Wafilisti! Tuweni wanaume, la sivyo mtakuwa watumwa wa Waebrania, kama wao walivyokuwa kwenu. Kuweni wanaume, mpigane!”
Jeremiah 13:23Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake 2 au chui kubadili madoadoa yake? 1 Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema 2 wewe uliyezoea kutenda mabaya. 1