Jeremiah 13:23
Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake 2 au chui kubadili madoadoa yake? 1 Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema 2 wewe uliyezoea kutenda mabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24“Nitawatawanya kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo wa jangwani. 1
Cross References
1 Samuel 19:21Sauli akaelezwa juu ya hilo, naye akapeleka watu wengine zaidi, nao wakatoa unabii pia. Sauli akatuma watu mara ya tatu, nao pia wakatoa unabii.
Proverbs 27:22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, 2 ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, 2 hutauondoa upumbavu wake. 1
Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1
Jeremiah 2:30“Nimeadhibu watu wako bure tu, 2 hawakujirekebisha. 1 Upanga wako umewala manabii wako 2 kama simba mwenye njaa.
Jeremiah 6:29Mivuo inavuma kwa nguvu, 2 kinachoungua kwa huo moto ni risasi, 1 lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; 2 waovu hawaondolewi. 1
Jeremiah 17:9Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, 2 ni mwovu kupita kiasi. 2 Ni nani awezaye kuujua? 1