Judges 13:12
Basi Manoa akamuuliza, “Wakati maneno yako yatakapotimia, masharti ya maisha ya mtoto huyu yatakuwa nini na kazi yake itakuwa ni nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Malaika wa Bwana akamjibu, “Mke wako hana budi kufanya yale yote niliyomwambia.
Cross References
Psalms 143:8Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, 2 kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. 1 Nionyeshe njia nitakayoiendea, 2 kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu. 1
Proverbs 22:6Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, 2 naye hataiacha hata akiwa mzee. 1