The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 22 › Proverbs 22:6

Proverbs 22:6

Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, 2 naye hataiacha hata akiwa mzee. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Train up a child in the way he should go: and when he is old, he will not depart from it.

In Context

5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego, 2 bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo. 1

7Matajiri huwatawala maskini 2 naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye. 1

Read all of Proverbs 22

Cross References

Deuteronomy 4:9Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.

Judges 13:12Basi Manoa akamuuliza, “Wakati maneno yako yatakapotimia, masharti ya maisha ya mtoto huyu yatakuwa nini na kazi yake itakuwa ni nini?”

1 Samuel 2:26Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza Bwana na wanadamu. 1 Unabii Dhidi Ya Nyumba Ya Eli

Psalms 78:3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, 2 yale ambayo baba zetu walituambia. 1

2 Timothy 3:15na jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 22:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 22:5Proverbs 22Proverbs 22:7 →