Judges 13:18
Akamjibu, “Kwa nini unauliza Jina langu? Ni Jina la ajabu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the angel of the LORD said unto him, Why askest thou thus after my name, seeing it is secret?
In Context
Cross References
Genesis 32:30Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, + 32:30 Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania. akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”
Judges 13:6Ndipo huyo mwanamke akamwendea mumewe na kumweleza kuwa, “Mtu wa Mungu alinijia. Kule kuonekana kwake kulikuwa kama kwa malaika wa Mungu, wa kutisha sana. Sikumuuliza alikotoka wala hakuniambia jina lake.
Isaiah 9:5Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani, 2 na kila vazi lililovingirishwa katika damu 1 vitawekwa kwa ajili ya kuchomwa, 2 vitakuwa kuni za kuwasha moto. 1