Genesis 32:30
Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, + 32:30 Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania. akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 16:13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
Genesis 35:9Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki.
Exodus 33:14Bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”
Numbers 12:8Kwake nitanena naye uso kwa uso, 2 waziwazi wala si kwa mafumbo; 2 yeye ataona umbo la Bwana. 1 Kwa nini basi ninyi hamkuogopa 2 kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?”
Deuteronomy 34:10Tangu wakati huo, katika Israeli hajainuka nabii mwingine kama Mose, ambaye Bwana alimjua uso kwa uso,
Judges 8:8Kutoka hapo alikwea mpaka Penieli na kutoa ombi lile lile, lakini nao watu wa Penieli wakamjibu kama watu wa Sukothi walivyokuwa wamemjibu.