bible.software › Judges › Judges 13 › Judges 13:7
Judges 13:7
Lakini aliniambia, ‘Utachukua mimba na utazaa mtoto mwanaume. Basi sasa, usinywe mvinyo wala kileo kingine chochote wala usile kitu kilicho najisi, kwa kuwa huyo mtoto atakuwa Mnadhiri wa Mungu tangu tumboni mwa mama yake mpaka kufa kwake.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he said unto me, Behold, thou shalt conceive, and bear a son; and now drink no wine nor strong drink, neither eat any unclean thing: for the child shall be a Nazarite to God from the womb to the day of his death.
In Context
6Ndipo huyo mwanamke akamwendea mumewe na kumweleza kuwa, “Mtu wa Mungu alinijia. Kule kuonekana kwake kulikuwa kama kwa malaika wa Mungu, wa kutisha sana. Sikumuuliza alikotoka wala hakuniambia jina lake.
8Ndipo Manoa akamwomba Bwana, akasema: “Ee Bwana, nakusihi, huyo mtu wa Mungu uliyemtuma kwetu aje tena ili atufundishe jinsi ya kumlea huyo mwana atakayezaliwa.”
Read all of Judges 13
Cross References
Amos 2:11Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu 2 na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu. 1 Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?” 4 asema Bwana. 1
This Verse In Other Editions
Study Judges 13:7