Waamuzi 16:24
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao, wakisema: 1 “Sasa mungu wetu amemtia adui yetu 2 mikononi mwetu, 1 yule aliyeharibu nchi yetu 2 na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:27Lakini nilihofia dhihaka za adui, 2 adui asije akashindwa kuelewa, 1 na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; 2 Bwana hakufanya yote haya.’ ” 1
Judges 15:14Alipokaribia Lehi, Wafilisti wakamjia wakipiga kelele. Roho wa Bwana akamjia juu yake kwa nguvu. Kamba zilizomfunga mikono yake zikawa kama kitani iliyochomwa kwa moto, na vifungo vyake vikaanguka chini toka mikononi mwake.
1 Samuel 31:9Wakamkata Sauli kichwa na kumvua silaha zake, nao wakatuma wajumbe katika nchi yote ya Wafilisti kutangaza habari katika hekalu la sanamu zao na miongoni mwa watu wao.
Isaiah 37:20Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili kwamba falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Kuanguka Kwa Senakeribu (2 Wafalme 19:20-37)
Daniel 5:4Walipokuwa wakinywa mvinyo, wakaisifu miungu ya dhahabu na fedha, ya shaba, chuma, miti na mawe.
Habakkuk 1:16Kwa hiyo anatoa kafara kwa wavu wake, 2 na kuchoma uvumba kwa juya lake, 1 kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe, 2 na anafurahia chakula kizuri. 1