Waamuzi 17:1
Palikuwa na mtu aliyeitwa Mika ambaye aliishi katika vilima vya Efraimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was a man of mount Ephraim, whose name was Micah.
In Context
Cross References
Joshua 15:9Kutoka juu ya kilima mpaka ule ukaendelea hadi kwenye chemchemi ya maji ya Neftoa, ukatokea kwenye miji ya Mlima Efroni na kuteremka kuelekea Baala (yaani Kiriath-Yearimu).
Joshua 17:15Yoshua akajibu, “Kama ninyi ni wengi sana, na kama nchi ya vilima ya Efraimu ni ndogo sana kwenu, pandeni msituni mkafyeke eneo kwa ajili yenu wenyewe huko kwenye nchi ya Waperizi na Warefai.”
Joshua 24:30Nao wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Sera + 24:30 Unajulikana pia kama Timnath-Heresi, ona Yos 19:50; Amu 2:9 . katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima wa Gaashi.
Judges 10:1Baada ya Abimeleki, Tola mwana wa Pua mwana wa Dodo, mtu wa Isakari, aliyeishi huko Shamiri, katika nchi ya vilima ya Efraimu, akainuka kuokoa Israeli.
Judges 18:13Kutoka hapo wakaendelea mbele mpaka nchi ya vilima ya Efraimu na kufika katika nyumba ya Mika.