Waamuzi 17:2
Akamwambia mama yake, “Zile shekeli 1,100 + 17:2 Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha. za fedha zilizochukuliwa kwako, ambazo nilisikia ukizinenea maneno ya laana, hizi hapa; mimi ndiye niliyezichukua, lakini sasa ninakurudishia.” Ndipo mama yake akamwambia, “ Bwana na akubariki, mwanangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Palikuwa na mtu aliyeitwa Mika ambaye aliishi katika vilima vya Efraimu.
Cross References
Genesis 14:19Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Exodus 20:7Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. 1
Judges 5:23Malaika wa Bwana akasema, ‘Merozi alaaniwe. 2 Walaaniwe watu wake kwa uchungu, 1 kwa kuwa hawakuja kumsaidia Bwana, 2 kumsaidia Bwana dhidi ya hao wenye nguvu.’ 1
1 Samuel 14:24Basi watu wa Israeli walikuwa katika dhiki siku ile, kwa sababu Sauli alikuwa amewafunga watu kwa kiapo, akisema, “Alaaniwe mtu yeyote ambaye atakula chakula kabla ya jioni, kabla sijalipiza kisasi juu ya adui zangu!” Kwa hiyo hakuna mtu yeyote katika jeshi aliyeonja chakula.
1 Samuel 15:13Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “ Bwana akubariki! Nimetimiza yale Bwana aliniagiza.”
1 Samuel 26:19Sasa mfalme bwana wangu na asikilize maneno ya mtumishi wake. Kama Bwana amekuchochea dhidi yangu, basi yeye na aipokee sadaka yangu. Lakini hata hivyo, kama ni wanadamu waliofanya hivyo, walaaniwe mbele za Bwana! Wao sasa wamenifukuza kutoka sehemu yangu katika urithi wa Bwana wangu wakisema, ‘Nenda ukatumikie miungu mingine.’