Waamuzi 17:4
Hivyo akamrudishia mama yake ile fedha, naye mama yake akachukua shekeli mia mbili + 17:4 Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3 za fedha. za hiyo fedha na kumpa mfua fedha, ambaye aliifanyiza kinyago na sanamu. Navyo vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1
Habakkuk 2:18“Sanamu ina thamani gani, 2 kwani mwanadamu ndiye alichonga? 1 Ama kinyago kinachofundisha uongo? 2 Kwa kuwa yeye aliyekitengeneza 1 hutegemea kazi ya mikono yake mwenyewe; 2 hutengeneza sanamu zisizoweza kuzungumza. 1