Judges 19:13
Akasema, “Haya, tujitahidi tufike Gibea au Rama, nasi tutalala katika mji mmojawapo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Hivyo wakaendelea na safari, jua likachwea walipokaribia Gibea ambao ni mji wa Benyamini.
Cross References
Joshua 18:28Zela, Elefu, mji wa Wayebusi (yaani Yerusalemu), Gibea na Kiriathi; miji kumi na minne pamoja na vijiji vyake. Huu ndio uliokuwa urithi wa Benyamini kwa ajili ya koo zake.
Isaiah 10:29Wanavuka kivukoni, nao wanasema, 2 “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” 1 Rama inatetemeka; 2 Gibea ya Sauli inakimbia. 1