Waamuzi 19:30
Kila mtu aliyeona akasema, “Jambo la namna hii halijaonekana wala kutendeka, tangu Israeli walipopanda kutoka Misri. Fikirini juu ya jambo hili! Tafakarini juu ya jambo hili! Tuambieni tufanye nini!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 11:14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, 2 bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 1
Proverbs 15:22Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri, 2 bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa. 1
Proverbs 24:6kwa kufanya vita unahitaji uongozi 2 na kwa ushindi washauri wengi. 1