Mithali 11:14
Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, 2 bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where no counsel is, the people fall: but in the multitude of counsellors there is safety.
In Context
13Masengenyo husaliti tumaini, 2 bali mtu mwaminifu hutunza siri. 1
15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, 2 bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 1
Cross References
1 Kings 12:1Rehoboamu akaenda Shekemu, kwa kuwa Waisraeli wote walikuwa wamekwenda huko kumfanya yeye kuwa mfalme.
Proverbs 16:22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, 2 bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 1
Proverbs 24:6kwa kufanya vita unahitaji uongozi 2 na kwa ushindi washauri wengi. 1
Acts 15:6Mitume na wazee wakakutana pamoja ili kufikiri jambo hili.