bible.software › Judges › Judges 21 › Judges 21:11
Judges 21:11
Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And this is the thing that ye shall do, Ye shall utterly destroy every male, and every woman that hath lain by man.
In Context
10Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto.
12Wakakuta kati ya watu walioishi Yabeshi-Gileadi wanawali mia nne ambao hawajakutana kimwili na mwanaume, nao wakawachukua kwenye kambi huko Shilo katika nchi ya Kanaani.
Read all of Judges 21
Cross References
Numbers 31:17Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa,
This Verse In Other Editions
Study Judges 21:11