Judges 21:10
Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Walipohesabu waliona hakuna mtu yeyote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwepo.
11Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.”
Cross References
Deuteronomy 13:15kwa hakika ni lazima mwaue kwa upanga wale wote wanaoishi katika mji ule. Uharibuni kabisa, pamoja na watu wake na mifugo yake.
Judges 5:23Malaika wa Bwana akasema, ‘Merozi alaaniwe. 2 Walaaniwe watu wake kwa uchungu, 1 kwa kuwa hawakuja kumsaidia Bwana, 2 kumsaidia Bwana dhidi ya hao wenye nguvu.’ 1
1 Samuel 11:7Akachukua jozi ya maksai na kuwakata vipande vipande, naye kuvituma hivyo vipande kupitia wajumbe katika Israeli yote, wakitangaza, “Hivi ndivyo itakavyofanyika kwa maksai wa kila mmoja ambaye hatamfuata Sauli na Samweli.” Kisha hofu ya Bwana ikawaangukia watu, nao wakatoka kama mtu mmoja.