bible.software › Judges › Judges 21 › Judges 21:9
Judges 21:9
Walipohesabu waliona hakuna mtu yeyote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwepo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the people were numbered, and, behold, there were none of the inhabitants of Jabesh-gilead there.
In Context
8Ndipo wakasema, “Ni kabila lipi la Israeli ambalo halikufika mbele za Bwana huko Mispa?” Wakagundua kuwa hakuna hata mmoja aliyetoka Yabeshi-Gileadi aliyefika kambini kwa ajili ya kusanyiko la mkutano.
10Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto.
Read all of Judges 21
This Verse In Other Editions
Study Judges 21:9