The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 4 › Waamuzi 4:23

Waamuzi 4:23

Basi siku ile Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani, mbele ya Israeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So God subdued on that day Jabin the king of Canaan before the children of Israel.

In Context

22Baraka akakaribia akimfuatia Sisera, Yaeli akatoka kumlaki. Akamwambia, “Njoo, nitakuonyesha mtu unayemtafuta.” Hivyo wakaingia ndani ya hema wakiwa wamefuatana na tazama Sisera alikuwa amelala humo, akiwa amekufa, na hicho kigingi cha hema kikiwa kimegongomewa kupitia paji la uso wake.

24Nao mkono wa Waisraeli ukaendelea kuwa na nguvu zaidi na zaidi dhidi ya Yabini, mfalme wa Kanaani, mpaka wakamwangamiza.

Read all of Waamuzi 4

Cross References

Nehemiah 9:24Wana wao wakaingia na kuimiliki nchi. Uliwatiisha Wakanaani mbele yao, walioishi katika nchi, ukawatia Wakanaani mikononi mwao, pamoja na wafalme wao na watu wa nchi, wawafanyie kama wapendavyo.

Psalms 18:47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, 2 awatiishaye mataifa chini yangu, 2

Psalms 81:14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, 2 na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao! 1

Hebrews 11:33ambao kwa imani walishinda milki za wafalme, walitekeleza haki, na wakapokea ahadi za Mungu; walifunga vinywa vya simba,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 4:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 4:22Waamuzi 4Waamuzi 4:24 →