bible.software › Waamuzi › Waamuzi 4 › Waamuzi 4:8
Waamuzi 4:8
Baraka akamwambia, “Ukienda pamoja nami nitakwenda, lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Barak said unto her, If thou wilt go with me, then I will go: but if thou wilt not go with me, then I will not go.
In Context
7Nitamshawishi Sisera, jemadari wa jeshi la Yabini, pamoja na magari yake na jeshi lake, hadi Mto Kishoni na kumtia mikononi mwako.’ ”
9Debora akamwambia, “Hakika nitakwenda pamoja nawe, lakini njia unayoiendea haitakupa heshima wewe, kwa kuwa Bwana atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Hivyo Debora akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi,
Read all of Waamuzi 4
Cross References
Matthew 14:30Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!”
This Verse In Other Editions
Study Waamuzi 4:8