Mathayo 14:30
Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Yesu akamwambia, “Njoo.” Basi Petro akatoka kwenye chombo, akatembea juu ya maji kumwelekea Yesu.
Cross References
Psalms 3:7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1
Psalms 107:27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, 2 ujanja wao ukafikia ukomo. 1
Lamentations 3:54maji yalifunika juu ya kichwa changu, 2 nami nikafikiri nilikuwa karibu 2 kukatiliwa mbali. 1
Matthew 8:24Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.
Mark 14:38Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu.”
Luke 22:54Kisha wakamkamata Yesu, wakamchukua, wakaenda naye mpaka nyumbani kwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali.