Waamuzi 5:16
Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo 2 kusikiliza sauti ya filimbi zinazoita makundi? 1 Kwa jamaa za Reubeni, 2 palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:6Mose akawaambia Wagadi na Wareubeni, “Je, watu wa nchi yenu watakwenda vitani wakati ninyi mmeketi hapa?
Judges 5:15Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; 2 naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, 1 wakija nyuma yake kwa mbio 2 wakielekea bondeni. 1 Katika jamaa za Reubeni, 2 palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. 1
Psalms 77:6nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. 2 Moyo wangu ulitafakari 2 na roho yangu ikauliza: 1
Philippians 2:21Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Yesu Kristo.