Waamuzi 5:19
“Wafalme walikuja na kufanya vita; 2 wafalme wa Kanaani walipigana 2 huko Taanaki karibu na maji ya Megido, 2 lakini hawakuchukua fedha wala nyara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
20Kutoka mbinguni nyota zilipigana, 2 nyota kutoka njia zake 2 zilipigana na Sisera. 1
Cross References
Genesis 14:22Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Joshua 11:1Ikawa Yabini mfalme wa Hazori aliposikia habari za mambo haya, akatuma ujumbe kwa Yobabu mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na kwa mfalme wa Akishafu,
Joshua 17:11Katika Isakari na Asheri Manase alikuwa na miji pia: Beth-Shani, Ibleamu na watu wa Dori, + 17:11 Ndiyo Nafoth-Dori. Endori, Taanaki na Megido, pamoja na vijiji vyote vinavyohusika na miji hiyo (ya tatu katika orodha ni Nafothi).
Judges 4:13Sisera akakusanya pamoja magari yake yote 600 ya chuma na watu wote waliokuwa pamoja naye, kuanzia Haroshethi-Hagoyimu mpaka Mto wa Kishoni.
1 Kings 4:12Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu; 1
Psalms 48:4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, 2 waliposonga mbele pamoja, 1