Waamuzi 5:18
Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
Judges 4:6Akatuma wamwite Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali na kumwambia, “ Bwana, Mungu wa Israeli, anakuagiza: ‘Nenda, chukua wanaume 10,000 toka Naftali na Zabuloni, mwende Mlima Tabori.
Judges 4:14Ndipo Debora akamwambia Baraka, “Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Bwana amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Bwana hakukutangulia mbele yako?” Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.
Acts 20:24Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Yesu aliyonipa, yaani, kazi ya kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.
Revelation 12:11Nao wakamshinda 2 kwa damu ya Mwana-Kondoo 2 na kwa neno la ushuhuda wao. 1 Wala wao hawakuyapenda maisha yao 2 hata kufa. 1